Careers
We offer a rewarding range of career opportunities for talented people who want to contribute to the development of our industry and achieve their potential.
our services
Internships provide hands-on experience in a specific area, often for students or recent graduates. Interns work under supervision, gaining practical skills in various departments, from clinical to administrative roles. This is an excellent way to apply academic knowledge in a real-world setting.
This involves offering your time and skills to assist the hospital without financial compensation. Volunteers can support patient care, administrative tasks, or community outreach, gaining valuable insights into hospital operations and healthcare dynamics.
Fieldwork typically refers to practical experiences in healthcare settings, such as community health programs or outreach initiatives. This allows individuals to engage directly with patients and communities, developing skills in public health, patient education, and service delivery.
Announcements
Open application jobs
DAKTARI BINGWA DARAJA LA II – USINGIZI (ANAETHESIST) NAFASI 2

Sifa za kuajiriwa:
- Kuajiriwa wenye shahada ya uzamili ya Udaktari Bingwa katika fani ya Usingizi (M.Med Anaesthesist) kwenye fani ya Udaktari ya miaka mitatu au zaidi kutoka vyuo vikuu vinavyotambuliwa na Serikali. Wawe wamesajiliwa na Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanganyika).
Kazi na majukumu:
- Kufanya kazi zote za matibabu hospitalini zinazohusiana na magonjwa mbalimbali katika fani husika.
- Kupanga, kusimamia na kutathimini huduma katika wilaya au mikoa
- Kufundisha wanafunzi katika vyuo vya afya vilivyo eneo lake la kazi
- Kuchunguza, kufuatilia na kuzuia milipuko ya magonjwa
- Kutayarisha elimu ya kujiendeleza ya watumishi wa afya.
- Kufundisha na kuelekeza watumishi walio chini yake
- Kusimamia wafanyakazi walio chini yake
- Kubuni, kuendesha na kutathimini utafiti na kusambaza matokeo
- Kubuni na kutayarisha mikakati ya kuinua ubora wa huduma ya fani yake
- Kutoa huduma za outreach katika kanda
- Kutoa huduma za medical legal
- Kushiriki katika kutengeneza na kusimamia utekelezaji wa Sera na Mipango ya Serikali juu ya afya
- Kushauri wizara kuhusu uendeshaji wa shughuli za afya nchini
- Kushiriki katika kamati ya jopo la madaktari (medical board) kwa ajili ya kustaafisha wafanyakazi kwa matatizo ya kiafya.
- Kutayarisha mitaala ya elimu ya kujiendeleza ya watumishi wa afya.
- Kuandaa mipango na makisio ya bajeti ya huduma za afya
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
MASHARTI KWA WAOMBAJI WOTE
- Awe na umri usiozidi miaka 45 mwenye afya njema.
- Waombaji waambatanishe wasifu (Curriculum Vitae) yenye anwani sahihi, namba za simu sahihi, pamoja na majina matatu ya wadhamini na namba zao za simu zinazopatikana.
- Barua za wadhamini watatu zikiwa na anwani zao sahihi na namba za simu
- Awe na vyeti husika vya taaluma. Testimonial “provisional Result” Statement of Result, hati ya matokeo ya kidato cha nne HAVIKUBALIKI.
- Waombaji waliosoma nje ya nchi wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na TCU au NECTA.
- Waombaji waambatanishe nakala za vyeti vifuatavyo vilivyothibitishwa:
- Cheti cha kuzaliwa
- Cheti cha kuhitimu elimu ya Kidato cha nne
- Cheti cha kuhitimu elimu ya kidato cha sita
- Vyeti vya taaluma
- Picha aina ya Pasipoti 1
- Leseni kutoka baraza husika
- Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 7 Februari, 2025
- Maombi yote yawasilishwe kupitia website ya hospitali www.mtmerurrh.go.tz
Posted on: 2025-01-23 17:38:04
Application Deadline: 2025-02-07 11:00:00
DAKTARI BINGWA DARAJA LA II – AFYA YA AKILI (PSYCHIATRIC) NAFASI 1
DAKTARI BINGWA DARAJA LA II – AFYA YA AKILI (PSYCHIATRIC) NAFASI 1
Sifa za kuajiriwa:
- Kuajiriwa wenye shahada ya uzamili ya Udaktari Bingwa katika fani ya Afya ya Akili (M.Med Psychiatric) kwenye fani ya Udaktari ya miaka mitatu au zaidi kutoka vyuo vikuu vinavyotambuliwa na Serikali. Wawe wamesajiliwa na Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanganyika).
Kazi na majukumu:
- Kufanya kazi zote za matibabu hospitalini zinazohusiana na magonjwa mbalimbali katika fani husika.
- Kupanga, kusimamia na kutathimini huduma katika wilaya au mikoa
- Kufundisha wanafunzi katika vyuo vya afya vilivyo eneo lake la kazi
- Kuchunguza, kufuatilia na kuzuia milipuko ya magonjwa
- Kutayarisha elimu ya kujiendeleza ya watumishi wa afya.
- Kufundisha na kuelekeza watumishi walio chini yake
- Kusimamia wafanyakazi walio chini yake
- Kubuni, kuendesha na kutathimini utafiti na kusambaza matokeo
- Kubuni na kutayarisha mikakati ya kuinua ubora wa huduma ya fani yake
- Kutoa huduma za outreach katika kanda
- Kutoa huduma za medical legal
- Kushiriki katika kutengeneza na kusimamia utekelezaji wa Sera na Mipango ya Serikali juu ya afya
- Kushauri wizara kuhusu uendeshaji wa shughuli za afya nchini
- Kushiriki katika kamati ya jopo la madaktari (medical board) kwa ajili ya kustaafisha wafanyakazi kwa matatizo ya kiafya.
- Kutayarisha mitaala ya elimu ya kujiendeleza ya watumishi wa afya.
- Kuandaa mipango na makisio ya bajeti ya huduma za afya
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
MASHARTI KWA WAOMBAJI WOTE
- Awe na umri usiozidi miaka 45 mwenye afya njema.
- Waombaji waambatanishe wasifu (Curriculum Vitae) yenye anwani sahihi, namba za simu sahihi, pamoja na majina matatu ya wadhamini na namba zao za simu zinazopatikana.
- Barua za wadhamini watatu zikiwa na anwani zao sahihi na namba za simu
- Awe na vyeti husika vya taaluma. Testimonial “provisional Result” Statement of Result, hati ya matokeo ya kidato cha nne HAVIKUBALIKI.
- Waombaji waliosoma nje ya nchi wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na TCU au NECTA.
- Waombaji waambatanishe nakala za vyeti vifuatavyo vilivyothibitishwa:
- Cheti cha kuzaliwa
- Cheti cha kuhitimu elimu ya Kidato cha nne
- Cheti cha kuhitimu elimu ya kidato cha sita
- Vyeti vya taaluma
- Picha aina ya Pasipoti 1
- Leseni kutoka baraza husika
- Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 7 Februari, 2025
- Maombi yote yawasilishwe kupitia website ya hospitali www.mtmerurrh.go.tz
Posted on: 2025-01-23 17:39:29
Application Deadline: 2025-02-07 11:00:00
DAKTARI BINGWA DARAJA LA II – MACHO (OPHTHALMOLOGIST) NAFASI 1
DAKTARI BINGWA DARAJA LA II – MACHO (OPHTHALMOLOGIST) NAFASI 1
Sifa za kuajiriwa:
- Kuajiriwa wenye shahada ya uzamili ya Udaktari Bingwa katika fani ya Macho (M.Med Ophthalmology) kwenye fani ya Udaktari ya miaka mitatu au zaidi kutoka vyuo vikuu vinavyotambuliwa na Serikali. Wawe wamesajiliwa na Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanganyika).
Kazi na majukumu:
- Kufanya kazi zote za matibabu hospitalini zinazohusiana na magonjwa mbalimbali katika fani husika.
- Kupanga, kusimamia na kutathimini huduma katika wilaya au mikoa
- Kufundisha wanafunzi katika vyuo vya afya vilivyo eneo lake la kazi
- Kuchunguza, kufuatilia na kuzuia milipuko ya magonjwa
- Kutayarisha elimu ya kujiendeleza ya watumishi wa afya.
- Kufundisha na kuelekeza watumishi walio chini yake
- Kusimamia wafanyakazi walio chini yake
- Kubuni, kuendesha na kutathimini utafiti na kusambaza matokeo
- Kubuni na kutayarisha mikakati ya kuinua ubora wa huduma ya fani yake
- Kutoa huduma za outreach katika kanda
- Kutoa huduma za medical legal
- Kushiriki katika kutengeneza na kusimamia utekelezaji wa Sera na Mipango ya Serikali juu ya afya
- Kushauri wizara kuhusu uendeshaji wa shughuli za afya nchini
- Kushiriki katika kamati ya jopo la madaktari (medical board) kwa ajili ya kustaafisha wafanyakazi kwa matatizo ya kiafya.
- Kutayarisha mitaala ya elimu ya kujiendeleza ya watumishi wa afya.
- Kuandaa mipango na makisio ya bajeti ya huduma za afya
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
MASHARTI KWA WAOMBAJI WOTE
- Awe na umri usiozidi miaka 45 mwenye afya njema.
- Waombaji waambatanishe wasifu (Curriculum Vitae) yenye anwani sahihi, namba za simu sahihi, pamoja na majina matatu ya wadhamini na namba zao za simu zinazopatikana.
- Barua za wadhamini watatu zikiwa na anwani zao sahihi na namba za simu
- Awe na vyeti husika vya taaluma. Testimonial “provisional Result” Statement of Result, hati ya matokeo ya kidato cha nne HAVIKUBALIKI.
- Waombaji waliosoma nje ya nchi wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na TCU au NECTA.
- Waombaji waambatanishe nakala za vyeti vifuatavyo vilivyothibitishwa:
- Cheti cha kuzaliwa
- Cheti cha kuhitimu elimu ya Kidato cha nne
- Cheti cha kuhitimu elimu ya kidato cha sita
- Vyeti vya taaluma
- Picha aina ya Pasipoti 1
- Leseni kutoka baraza husika
- Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 7 Februari, 2025
- Maombi yote yawasilishwe kupitia website ya hospitali www.mtmerurrh.go.tz
Posted on: 2025-01-23 17:40:53
Application Deadline: 2025-02-07 11:00:00
MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II – AFYA (RECORD MANAGEMENT ASSISTANTS) NAFASI 3
MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II – AFYA (RECORD MANAGEMENT ASSISTANTS) NAFASI 3
Sifa za kuajiriwa:
- Kuajiriwa Wahitimu wa kidato cha Nne au Sita wenye Stashahada au NTA level 6 katika fani ya utunzaji wa kumbukumbu za Afya kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali, wenye ujuzi wa kompyuta.
Kazi na majukumu:
- Kutunza kumbukumbu za wagonjwa na magonjwa
- Kutafuta na kusambaza mafaili na kumbukumbu za wagonjwa
- Kupokea na kusajili wagonjwa
- Kukusanya, kukagua na kuhifadhi taarifa mbalimbali kutoka wodini
MASHARTI KWA WAOMBAJI WOTE
- Awe na umri usiozidi miaka 45 mwenye afya njema.
- Waombaji waambatanishe wasifu (Curriculum Vitae) yenye anwani sahihi, namba za simu sahihi, pamoja na majina matatu ya wadhamini na namba zao za simu zinazopatikana.
- Barua za wadhamini watatu zikiwa na anwani zao sahihi na namba za simu
- Awe na vyeti husika vya taaluma. Testimonial “provisional Result” Statement of Result, hati ya matokeo ya kidato cha nne HAVIKUBALIKI.
- Waombaji waliosoma nje ya nchi wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na TCU au NECTA.
- Waombaji waambatanishe nakala za vyeti vifuatavyo vilivyothibitishwa:
- Cheti cha kuzaliwa
- Cheti cha kuhitimu elimu ya Kidato cha nne
- Cheti cha kuhitimu elimu ya kidato cha sita
- Vyeti vya taaluma
- Picha aina ya Pasipoti 1
- Leseni kutoka baraza husika
- Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 7 Februari, 2025
- Maombi yote yawasilishwe kupitia website ya hospitali www.mtmerurrh.go.tz
Posted on: 2025-01-23 17:42:56
Application Deadline: 2025-02-07 11:00:00
Fraud alert
MMRRH will never ask for payment to process documents, refer you to a third party to process applications or visas, or ask you to pay costs. Never send money to anyone suggesting they can provide employment with MMRRH. If you suspect you have received a fraudulent offer, please inform us by sending an email to info@mtmerurrh.go.tz