EMD

Kitengo hiki kinaratibu huduma zifuatazo.

  1. Kuwapokea wagonjwa wote wa liotumwa kwa rufaa kutoka hospitali zote zinazoizunguka Arusha na hata nje ya mkoa.
  2. Kuwapokea na kuwatibu wagojwa wote wa ajali za aina zote na kuwatibu kabla ya kuwalaza wodini.
  3. Kuwashughulikia watoto wotewaliozidiwa kabla ya kuwalaza
  4. kufanya vipimo vyote vya dharura kama ECG, ECHO.