Bima ya afya (NHIF)

Kupata huduma ya afya kunaweza kuwa ghali wakati mwingine. Hii ndio sababu tunakubali kadi za Bima kuhakikisha kuwa wagonjwa wetu wanaweza kupata matibabu mara moja bila kuwa na wasiwasi juu ya kulipa pesa. Sisi ni moja ya Hospitali za juu zinazokubali NHIF na kadi zingine za bima.

Tunakubali 'Cash' pia,  Hospitali hii inampokea mtu yeyote ambaye ana kadi ya Bima ya afya ya NHIF.