mantal clinic

Hospitali ya Mountmeru inatoa huduma ya afya ya akili pia siku zote za wiki kuanzia jumatatu mpaka ijumaa kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa tisa na nusu alasiri.

(2:00am-9:30pm)