Upasuaji mifupa & Ubongo
IDARA YA UPASUAJI WA MIFUPA NA UBONGO
Idara hii inahusika na matibabu wa mifupa ikiwa ni pamoja na upasuaji, ufungaji wa P.O. P.
Kliniki ya mifupa ni kila siku ya Jumanne na Alhamis
kuanzia saa 01:30 Asubuhi hadi saa 09:Alasiri.