Huduma za Maabara
IDARA YA MAABARA
Maabara ni idara mojawapo kati ya idara zilizopo katika Hospitali ya Mount Meru. Idara hii inasimamia vitengo vifuatavyo;-
- Bacteriology
- Blood Transfusion
- Chemistry
- Haematology
- Parasaitology na
- Serology
Maabara ya hospitali hii imepata Ithibati ya kimataifa (ISO15189/2012) na kuifanya iwe maabara ya Hospitali ya Mkoa ya kwanza nchini Tanzania kufikia hatua hiyo.
Maabara hii inauwezo wa kufanya vipimo vyote kwa kutumia vifaa na mashine za kisasa kabisa. Baadhi ya vipimo hivyo ni pamoja na vipimo vya uchunguzi wa magonjwa, kama vipimo vya damu (FBP),mkojo. Pia vipimo vya ini na figo vinafanyika lakini pia upimaji na ubainishaji wa vidudu mbalimbali kwa kutumia Teknolojia ya Microbilojia.
Pia ubainishaji wa maambukizi ya magonjwa ya UKIMWI, na uwingi wa Virusi inafanyika.
Masaa ya kaziSiku | Siku za kawaida | Huduma za Dharura |
Jumatatu mpaka Ijumaa |
01:30Asubuhi - 09:30Alasiri |
Masaa 24 |
mwisho wa siku za wiki (jmosi &Jumapili) na siku za sikukuu |
|
Masaa 24 |