ICU

HUDUMA YA ICU


Hospitali hii pia inalaza wagonjwa wote waliozidiwa katika ward maalum ya I C U. Wagonjwa wote walio katika hali ya kuweza kuwa katika uangalizi maalumu wanalazwa katika wardi hii mpaka watakapopata nafuu ndipo wanahamishwa kwenda kwenye wodi zingine.