ENT

Siku za Kliniki;


SIKU

SAA ZA KAZI

HUDUMA ZA DHARURA

Jumatatu Kuanzia saa 08:30Asubuhi

Alhamis

07:30Asubuhi - 03:30Alasiri

Saa 24

J'mos, J'pili na siku za sikukuu


Saa 24


Tunawaona wagonjwa wote wenye matatizo ya pua, koo na masikio pia na walio na uvimbe shingoni.


Upasuaji;-

Hufanyika kila Jumatatu