JKT OLJORO

Hospitali imeingia mkataba wa kutoa matibabu kwa wanajeshi wetu kikosi cha Oljoro. Hii ndio sababu tunakubali Bima ya JKT Oljoro kuhakikisha kuwa wagonjwa wetu wanaweza kupata matibabu mara moja bila kuwa na wasiwasi juu ya kulipa pesa.

Hospitali hii inampokea Mwanajeshi yeyote ambaye anadhaminiwa na Kikosi cha Oljoro-Monduli ili kupata huduma ya Afya kwetu.