All Clinics

Huduma ya Kliniki ya Macho inatolewa siku zote wa wiki yaani kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa 2asubuhi mpaka saa tisa na nusu Alasiri.

Huduma za matibabu ya watoto wote wenye matatizo mbalimbali

Akina mama na akina baba wanapata huduma  za uzazi

Kliniki hii inahusu watoto wachanga. inaanza saa 8:30Am mpaka saa 9:30pm

Huduma zote zinafanyika zinazohusu Matatizo ya meno

Kliniki ya watoto na vijana wanaoishi na VVU

Huduma hutolewa na madaktari bingwa kwa ajili ya watoto na vijana wenye magonjwa ya kisukari.

Hospitali ya Mountmeru inatoa huduma ya afya ya akili siku zote za wiki kuanzia jumatatu mpaka ijumaa kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa tisa na nusu alasiri.

(2:00am-9:30pm)Idara ya occupational therapy katika hospitali ya rufaa ya mkoa Mt Meru ,inatoa huduma ya utengamao kwa watoto wenye changamot za ukuaji zinazoweza kupelekea kupata ulemavu wa kudumu pamoja na kuwawezesha watotot waliopata ulemavu kuwapa ujuzi na uwezo wa...

Kitengo cha dawa mbadala kwa waraibu wa dawa za kulevya