Grade one block

Posted on: March 13th, 2021

Ujenzi wa Grade One na Grade Two (private wards), Majengo haya yamekamilika na kwasasa yameanza kutumika rasmi ambapo kila chumba kinalaza mgonjwa mmoja au wawili na ni self. Na kila huduma itapatikana pale, ikiwa ni pamoja na canteen na huduma zingine.